"Wanaume tumeumbwa mateso, bonge la party huku mumewe anafia gerezani...."
Hivi ndivyo alivyofunguka mdau akielezea hisia zake kuhusu
party hii ya kufuru iliyofanywa na Kajala Msanja wakati mumewe
akiozea gerezani.
Pamoja na mateso yote waliyoyapa kajala na mumewe wakati wakisaka
maisha kwa pamoja na hatimaye kujikuta wakiingia mahakamani, leo
hii MKE wa mtu amesahau yote na kuamua kufanya party ya kufuru
.....
Je yule aliyefungwa ni nani yako KAJALA???. Si alikuwa mumeo jamani ?
Je akisikia wewe wafanya kufuru mtaani wakati yeye akiwa bado ananyea ndoo gerezani atakuelewaje ???.
Ni bora hiyo pesa mnayoitumia kwa
fujo hapo, ungeenda gerezani na kumpelekea chochote mumeo na MUNGU ANGEKUBARIKI MARADUFU.....
PICHA ZA SHEREHE YA LAANA
wema na kajala
wema, dj fetty na kajala..
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI