NCHI za
wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Kibongobongo
sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo.
Licha ya
kubanwa na sheria pamoja na maadili, wapo wasanii ambao kwa nyakati
tofauti walijikuta katika adha ya kupigwa kama si kujipiga picha za
utupu kisha zikazagaa mitaani.
Wapo waliotajwa kupiga picha hizo kwa
kusaka umaarufu, waliopigwa na wapenzi wao kisha wakazivujisha lakini
wengine imedaiwa kuwa wamezivujisha wenyewe na kusingizia zimevujishwa
na wapenzi wao.
Ifuatayo ni orodha ya wasanii mbalimbali Bongo ambao waliwahi kukwaa skendo ya picha za utupu:
Wema Sepetu:
Mwaka 2010 picha yake ya utupu ilizagaa mtandaoni
huku ikidaiwa kuwa chanzo cha kusambaa kwake ni boifrendi wake ambaye
alimpiga na kuzisambaza. Kama hiyo haitoshi, mwaka huu mrembo huyo
alidaiwa kuposti picha zake nyingine za utupu katika mtandao wa
Instagram.
Diana Hussein:
Huyu ni Miss Dar Indian Ocean ambaye pia ni Miss
Kinondoni namba 2 mwaka jana, mrembo huyo hivi karibuni amejikuta
akipata aibu baada ya picha yake ya utupu kuvuja. Ilidaiwa kuwa alifanya
hivyo kwa azma ya kusaka umaarufu.
Jack wa Chuz:
Ni bonge la ‘actress’ Bongo Movie, mwaka 2012
alipigwa picha za utupu na kusambazwa kila kona ya Jiji la Dar. Ilidaiwa
kuwa kuna mtu alizichukua picha hizo kutoka kwenye simu yake na
kuzisambaza kwenye vyombo vya habari.
Agness Masogange:
Nini picha! Yeye ilivuja video yake ya utupu
kabisa. Ilisambaa kama njugu katika mitandao ya kijamii mwaka jana.
Vyanzo makini vilidai kuwa video hiyo alipigwa na mpenzi wake na
haikujulikana mara moja chanzo kilichozivujisha.
Jacqueline Wolper:
Pamoja na heshima kubwa aliyonayo kwenye soko
la filamu, mapema mwaka huu staa huyo amejikuta akichafuka baada ya
picha yake ya utupu kuanikwa gazetini. Ilidaiwa kuwa picha hiyo alipigwa
kwenye bethidei ya msanii mwenzake.
Marry John:
Msanii wa filamu Bongo, Mary John ‘Maua’ mwaka jana
alijipatia jina baada ya kupiga picha kadhaa za utupu na kuzisambaza
kwenye mitandao ya kijamii yeye mwenyewe.
Aunt Lulu:
Mara kadhaa amekuwa akitengeneza vichwa vya habari
magazetini kwa kupiga picha za utupu. Mfano hai ni picha ambazo alipiga
mwaka jana, ambapo alidai kuwa alipigwa bichi alipokwenda ‘kula bata’.
Lulu:
Mwaka 2010 alijikuta akichafuka kwa kutajwa kwenye skendo ya
kupiga picha ya utupu. Alipoulizwa kuhusiana na picha hiyo alikanusha
kuwa si ya kwake na kudai kuwa ilitengenezwa na watu ili kumchafua.
Jack Patrick:
Kwa upande wake suala la kuvuja kwa picha zake za
utupu siyo ishu. Mwaka jana ilidaiwa kuwa aliziposti picha zake za utupu
kwenye mtandao wa BBM, haileweki ni kwa nini huwa anafanya hivyo.
Isabela ‘Vai wa Ukweli’:
Huyu ni chipukizi kwenye anga la filamu
Bongo, mara kadhaa amepigwa picha za utupu na kusambazwa kwenye vyombo
vya habari. Imedaiwa kuwa hufanya hivyo kama kutafuta mlango wa kutokea
kwenye ustaa.
bona warembo wenyewe hata mvuto hawana.
ReplyDelete