Showing posts with label EXCLUSIVE on www.djchoka.blogspot.com and www.gongamx.com PRESS PLAY BY DJ CHOKA. Show all posts
Showing posts with label EXCLUSIVE on www.djchoka.blogspot.com and www.gongamx.com PRESS PLAY BY DJ CHOKA. Show all posts

Monday, March 4, 2013

FILAMU YA "WAVES OF SORROW" YA MSANII RAY YAZINDULIWA KWA KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA VIZIWI


Nguli wa filamu bongo Vicent Kigosi “Ray”ameendeleza utamaduni wake wa kuzindua filamu kwa staili ya kutoa msaada na safari hii amezindua filamu ya Waves of Sorrow.


Ray alikeleka zawadi katika shule ya viziwi iliyopo Buguruni Malapa, akiambatana na wasanii walioshiriki katika filamu hiyo na kufurahi na watoto hao kwa kuwagawia zawadi mbalimbali.

Ray amekuwa akifanya hivyo kila anapotoa filamu mpya kutembelea vituo vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu au wale wenye matatizo ya kiafya.


Ray alifunguka akieleza sababu inayo mfanya kuzindua filamu zake kwa mtindo huu “Nimefurahi kuwa pamoja na watoto hawa na kuwapatia zawadi mbalimbali kwa ajili ya mahitaji yao, mara nimekuwa nikifanya hivi ikiwa ni sehemu ya kurudisha shukrani kwa mashabiki wa kazi zangu,wakati wengine wakila na kusaza pia kuna watu hawezi kufanya hivyonami kidogo nilicho nacho nagawana na watoto, yatima ambao wana matatizo mbalimbali ikiwa ni kutoa mchango katika kuwapa moyo,”
kijiweni bongo by paul koka

Wednesday, December 12, 2012

RECHO WA THT ASHUTUMIWA KUMPIGA MISUMARI RAY C

Wakati hali ya msanii wa bongo  fleva maarufu kama RAY C  ikiendelea vizuri kwa msaada wa raisi JK kumetokea baadhi maneno kuhusu recho kutoka THT kumpiga misumari msanii mwenzake ambaye ni Rehema chalamila maarufu kama ray c.Habari za uhakika kutoka kwa rafiki wa karibu wa ray c(JINA TUNALO) ameeleza kwamba  tabia ambayo anayo recho ya kujifananisha na ray c kuanzia mavazi staili  pamoja  na staili ya uimbaji .ndiyo inayo sababisha watu wamuhisi vibaya recho wakihisi kwamba recho emezima nyota ya ray c ili awike yeye