SIKU chache baada ya gazeti la Risasi Jumamosi kutoka
na habari iliyoambana na picha zilizopigwa katika chumba cha hoteli
zikimwonesha mbunge wa jimbo moja nchini akijivinjari na dada mmoja wa
mjini, aibu zaidi imemwangukia binti huyo baada ya picha zake za utupu
kuvuja.
Mjasiriamali
huyo wa mjini, katika habari hiyo jina lake lilifichwa lakini sasa
tunalianika kwa jina moja la Sheila ambaye makazi yake ni Kinondoni
jijini Dar.
Habari za moto zilizopatikana kutoka kwa vyanzo makini, vimepenyeza maelezo ya kutosha kuhusu ‘mjasiriamali’ huyo
kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa vigogo.
“Sheila ni mjanja sana, ana
mawasiliano ya vigogo wengi ndiyo maana anawapata kirahisi lakini sasa
sijui hii akili ya kijinga ya kupiga picha chafu anaipata wapi. Kwa mtu
anayefikiri sawasawa hawezi kufanya upuuzi kama huu,” kilieleza chanzo
chetu kwa sharti la kutoandikwa jina lake
Folda
lenye picha chafu za dada huyo zilizopigwa katika mikao ya
kihasarahasara (haziwezi kuachwa wazi) zipo kwenye dawati la Ijumaa kama ushahidi....kijiweni bongo by paul koka
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI