Wakati hali ya msanii wa bongo fleva maarufu kama RAY C ikiendelea vizuri kwa msaada wa raisi JK kumetokea baadhi maneno kuhusu recho kutoka THT kumpiga misumari msanii mwenzake ambaye ni Rehema chalamila maarufu kama ray c.Habari za uhakika kutoka kwa rafiki wa karibu wa ray c(JINA TUNALO) ameeleza kwamba tabia ambayo anayo recho ya kujifananisha na ray c kuanzia mavazi staili pamoja na staili ya uimbaji .ndiyo inayo sababisha watu wamuhisi vibaya recho wakihisi kwamba recho emezima nyota ya ray c ili awike yeye
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI