Wanajeshi wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye taa za ubungo na kuondoka kwa madai kuwa kawachelewesha kwenye foleni, baada ya kuondoka magari hayo ya jeshi yalizuiwa kwa muda wa zaidi ya saa moja maeneo ya Tabata dampo.kabla ya kuachiwa kuendelea na safari yake
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI