KiJiWeNi BoNgO

Saturday, October 20, 2012

hHATIMAE AMIR FARID AACHIWA

Photo: Wazanzibar na wakishangiria baada ya kumuona AMIR FARID hapo jana usiku michenzani.Wazanzibar na wakishangiria baada ya kumuona AMIR FARID hapo jana usiku michenzani.
waandishi Wahabari wakiwa na AMIR FARID MWANAKINDAKINDAKI WAZANZIBAR.
Photo: waandishi Wahabari wakiwa na AMIR FARID MWANAKINDAKINDAKI WAZANZIBAR.
Baadhi ya viongozi wa Kamati ya Mskiti wa Mbuyuni wakiwa pamoja na SIMBA wa Waislamu.
waumini wakipiga picha ya pamoja na Amir Farid baada ya kuachiwa.
Photo: waumini wakipiga picha ya pamoja na Amir  Farid baada ya kuachiwa.
Waumi wa Kiislamu wakiwa nje ya Amir Faid jana Usiku.
Photo: Waumi wa Kiislamu wakiwa nje ya Amir Faid jana Usiku.
Amir akiwapungia Mkono watu waliofika hapo kwake jana usiku.
Photo: Amir akiwapungia Mkono watu waliofika hapo kwake  jana usiku.
MKASA MZIMA WA KUTEKWA KWA SHEIKH FARIDI HUU HAPA

Amesema kuwa waliomchukuwa walijitambulisha kwake kuwa ni askari polisi na kumonesha vitambulisho huku wengine wawili wakiwa na silaha za mshingani hapo hapo wakamfunga macho yake kwa kutum...
See More
Photo: MKASA MZIMA WA KUTEKWA KWA SHEIKH FARIDI HUU HAPA

Amesema kuwa waliomchukuwa walijitambulisha kwake kuwa ni askari polisi na kumonesha vitambulisho huku wengine wawili wakiwa na silaha za mshingani hapo hapo wakamfunga macho yake kwa kutumia kitambaa ili asijue wapi anapelekwa walimchukua kwa gari na baadae kumuingiza katika nyumba asioijua kwa mahojiano bila ya kumfungua kitambaa hicho kwa muda ...
wa siku tatu mfululizo.

Amesema kuwa watu hao waliomuhoji maswala mengi sana kuhusu tangu kuuanzishwa kwa jumuia ya uamsho na safari zake za kwenda omani na mpaka kumchukulia simu yake bila ya kumrejeshea pia wametaka kujua kuwa anauhusiano gani na rais shein na makamo wakwanza wa raisi maalim seif, wakati wanamuhoji walifika mpaka kupiga risasi chini ya miguu nyake ili kumtisha na kuweza kufikia lengo lao walilojipangia.

Amesema pia watu waliomchukuwa na baadhi ya waliokuwa wanamlinda hawezi kuwajua kutokana na kuwa walikuwa wamevaa soksi ndani ya nyuso zao nakubakisha macho tu,amsema kutokana tu na lafdhi zao ambazo walikuwa wanaongea inaonekana wazi kuwa wengi ni kutoka bara na wazanzibari ni kama wawili tu kutokana na sauti zao.

kuhusu suala lakupigiwa simu na mtu asiemjua amesena kuwa wao kama viongozi huwa mara nyingi wamekuwa wakipigiwa simu na watu wasiowajua na wamekuwa wakionanan nao bila ya matatizo hivyo basi kitendo cha kupigiwa simu siku hio na mtu asiemjua hakikumshituwwa kwani nikawaida kwao hususani aliemnigia alijitambulisha kama ni mwanafunzi wake wa mahad lmahfudh

Aidha amesema kuwa muda wote huo wa siku tatu hakuweza kula chochote katika chumba hicho kwani alikuwa hawaamini na badala yake alikuwa anakunywa maji kutoka bomba la mfereji lililokuwa chooni katika chumba hicho pia amesema wakati yupo ndani hakujua lolote linaloendelea huku nje isipokuwa amejua baada ya kutoka nje kwa kuambiwa na kila manaemkuta.

Aidha sheikh farid ameiomba serikali ya mapinduzi ya zanzibar kutumuia sheria na uadilifu kwa rai wake kinyume cha hivo watakuwa wanaimba tu katika nchi amani na utulivu usiokuwepo pia amewataka wazanzibar kuendelea kutetea maslahi ya nchi yao kama kawaida kwani kufanya hivo ni haki yao na yeye amewahakikishi ataendelea kuitetea zanzibar mpaka tone la mwisho la damu yae.
Posted by KOKA PAUL at 4:49 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

BLOG MBALI MBALI

  • BONGO STAR LINK
    (Photo's) Hivi ndivyo NIKKI WA PILI na washkaji zake walivyokula ndoto ya MASTER OF ARTS IN DEVELOPMENT MANAGEMENT pale CHUO KIKUU CHA MLIMANI - Anajulikana na mashabiki kwa jina la Nikki wa Pili msanii wa Hip Hop nchini anayeliwakilisha lile kundi la WEUSI, jana tarehe 16 Nikki alikuwa ana gradu...
    12 years ago
  • DJ Fetty
    Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA - Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Kauli ya hiyo ya Bunge im...
    10 years ago

Blogger templates

FOLLOW THIS BLOG

profile

My photo
KOKA PAUL
Dar es sallam, Tanzania, Tanzania
BLOGSPOT
View my complete profile

Total Pageviews

Popular Posts

  • HAWA NDO WATAALAM WA KUCHAFUA MAADILI KWA PICHA ZA UCHI....
    NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Kibongobongo sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya...
  • laana: PICHA 30 ZA KANGA MOKO LAKI SI PESA wakiwa kazini, 18+
    KIJIWENIBONGO @ Haya mambo mengine tunapandishana presha tu mi nahemea juu juu tu hapa sijui ndio midadi?! Ebu naombeni maji ya kunywa. ...
  • PICHA ZA UCHI ZA MPENZI WA MBUNGE ZANASWA....
    SIKU chache baada ya gazeti la Risasi Jumamosi kutoka na habari iliyoambana na picha zilizopigwa katika chumba cha hoteli ziki...
  • UCHAFU UNAOTENDEKA COCO BEACH NI ZAIDI YA SODOMA NA GOMOLA...
    Matukio yanayotokea Dar es Salaam usiku ni balaa, yaliyotendeka enzi za Sodoma na Gomora ni cha mtoto! Oparesheni Fichua Maovu ya...
  • OMBI: NATAFUTA MCHUMBA MWAMINIFU.....
    kijiweni bongo by paul koka mary ndo jina langu natokea kahama,na nina diploma, natafuta mchumba awe mkristo,mrefu, mweupe,asivu...
  • AIBU: PICHA ZA UCHI ZA MISS KINONDONI NAMBA2 ZANASWA
    Miss Dar Indian Ocean ambaye ni Miss Kinondoni namba 2 mwaka jana, Diana Hussein  hivi karibuni amejikuta akipata aibu baada ya p...
  • HUYU NI MWANAFUNZI ANASOMESHWA NA SERIKALI YA TANZANIA HII...PICHA CHAFU
    KILIO na zigo zito la lawama liwaangukie wahusika wakuu ambao wanahusika na utoaji wa mikopo kwa wananfunzi. Wakizungumza na chanz...
  • MAGAZETI YA LEO MAJIRA,HABARI LEO NA NIPASHE
    MAGAZETI YA LEO MAJIRA,HABARI LEO NA NIPASHE : MAGAZETI YA LEO MAJIRA,HABARI LEO NA NIPASHE
  • ally nipishe -my
    kijiweni bongo by paul koka
  • NI SHIDAAH Mrembo Vera Sadika Awaacha Mashabiki Huo, Wabaki Midomo Wazi
    KIJIWENIBONGO@ Mrembo Maarufu Kenya Vera Sadika Akifanya Yake Jukwaani Huku watazamaji wakimuangalia wakiwa hawaamini anachofa...

Follow us

Category

  • "TUTAHAKIKISHA KAGAME HAPONI (1)
  • Deddy (1)
  • EXCLUSIVE on www.djchoka.blogspot.com and www.gongamx.com PRESS PLAY BY DJ CHOKA (2)
  • Gosby and M Rap Click http://bit.ly/RnyICI to Listen and Download on ur… Continue (1)
  • KARIBU KIJIWENI BONGO HAPA UTAPATA NAFASI YA KU DOWNLOAD NGOMA MPYAA ZOTE ZINAZO TAMBA KWA WAKATI HUO HUO (1)
  • kijiwenibongo (1)
  • Mabeste (1)
  • MTANZANIA AKAMATWA HONG KONG NA MADAWA YA KULEVYA YAKIWA NDANI YA MASHINE (1)
  • MTANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA (1)
  • NI LAZIMA TUMMALIZE KABLA HAJATOROKA"..... HII NI KAULI YA BAADHI YA ASKARI WETU (1)
  • roma mkatoliki (1)
  • SAKATA LA MFANYABIASHARA WA MADINI ALIYEPIGWA RISASI 6 JIJINI ARUSHA LEO MCHANA (1)
  • TACAIDS YATOA TAKWIMU ZA UKIMWI...MKOA WA NJOMBE UNAONGOZA UKIFUATIWA NA IRINGA (1)
  • UKUBWA WA UUME SI KIGEZO CHA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO..... CHA MSINGI NI KUWA MTUNDU NA MBUNIFU (1)
  • WANANCHI WAPEWA KICHAPO KIKALI NA MGAMBO BAADA YA KUMUUA PUNDA NA KUMTUPA MTONI HUKO MBEYA (1)

Blogroll

http://www.youtube.com/watch?v=uxZiLWXB8c0

About

Featured Post 1

Featured Post 1
Simple theme. Theme images by luoman. Powered by Blogger.