PICHA: WEMA SEPETU AAMUA KUMUENZI MCHINA WAKE KWA KUJITANDIKA TATTOO ZA KICHINA SHINGONI NA MGONGONI
Baada ya Kajala masanja kujichora
tattoo zenye jina la Wema kama ishara ya kumshukuru kwa
msaada wake, Wema naye ameamua kujitandika tattoo ya kichina
yenye maana ya "Potential" kama ishara ya kumuenzi mchina wake
kijiweni bongo by paul koka
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI