Kim Kardashian ameamua "kulifotoa" tumbo lake la mimba na kulitupia mtandaoni ili watu walishuhudie.....
Uamuzi huo mgumu umekuja baada ya
mtandao maarufu wa TMZ kumvaa Kim kwa madai kuwa amekuwa
akipotosha uma kwa kutoa picha feki za mimba hiyo na kudai
kuwa ni zake. ...
UMEZISOMA HIZI?
kijiweni bongo by paul koka
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI