Wakati
Bunge la Tanzania likiendelea kufukuta kwa vurugu na kauli za matusi
na dharau, Wabunge hawa Zitto Kabwe na Halima Mdee wamefunguka juu ya
mambo yanayoendelea bungen kupitia mitandao ya kijamii na kudai kuwa
na aibu isiyoelezeka.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI