kijiweni bongo by paul koka
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anaendelea kutunisha akaunti yake baada ya kulamba shavu la shoo za kutosha nchini Uingereza ambapo ameahidi kurejea Bongo na mchumba rasmi atakayemtambulisha kwa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’.

Mkali
huyo wa ngoma ya Kesho alifunguka hayo juzikati kupitia website yake
alipokuwa akizinadi shoo hizo atakazofanya kwenye majiji ya London na
Reading, Uingereza ambapo aliwataka warembo hasa Wabongo waishio humo
kupendeza ili achague mmoja atakayekuwa mchumba’ke.
Bila kujali
mjadala utakaoibuka kwa kuwa tayari ana mchumba ambaye ni Penniel
Mungilwa ‘Penny’, Diamond alifunguka: “Mashabiki wangu wa London na
Reading kijana wenu nakuja kuweka historia kwa mara nyingine. Warembo
mpendeze nakuja kuchagua mchumba mmoja wa kuja kumtambulisha kwa mama
Diamond.”
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI