kijiweni bongo by paul koka
Baada ya mabishano ya muda mrefu nyumbani kwa kada huyu na Mbunge wa Arusha mjini na uvamizi wa Polisi wakati wa usiku wa manane, Mh. Lema alikubali kukamatwa na kuchukuliwa na gari la polisi usiku na kupelekwa kituo kikuu cha polisi Arusha yaani Central Polisi.
Baada ya kumfikisha Lema Central police Arusha alisachiwa na kuingizwa ndani. Lema alikuwa ameambatana na magari ya wafuasi wa Chadema waliomsindikiza ili kushuhudia kinachojili hapo kituoni.
Baada ya kumtupa ndani,polisi waliwafukuza wafuasi hao wa Chadema hapo kituoni na kuwaambia hawatakiwi kuonekana hapo...
KUFUATIA HILI KUNA SINTOFAHAMU NYINGI KWANI ZIMEZAGAA VIDEO CLIPS ZINAZOONYESHA STEPS ZOTE TANGU LEMA AENDE KUTULIZA FUJO CHUONI HAPO HADI MKUU WA MKOA ALIPOFIKA KITU AMBACHO KUTOKANA NA VIDEO HIZI HAPA CHINI WEWE KAMA MFUATILIAJI UNABAKI NA JIBU LAKO.
TAZAMA VIDEO HIZI MBILI KISHA UTAJUA LEMA KACHOCHEA MKUU WA MKOA KUZOMEWA AU KAONEWA........
SISI HATUNA JIBU VIDEO YA KWANZA INAMUONYESHA LEMA AKITULIZA VURUGU ZA WANAFUNZI KABLA MKUU WA MKOA HAJAFIKA

Kukamatwa kwake kulikuja baada ya
polisi kuvunja mlango na kuingia ndani na kuendesha msako wa
nguvu humo ndani .Vitu kama laptop, ipad, simu vipo mikononi mwa
police.
Wananchi wengi walijitokeza ku-support mbunge wao na huenda Asubuhi wananchi wakawa wengi zaidi.
Safari ya Lema kuelekea polisi
ilisindikizwa na msululu wa magari ya makada waliojitokeza kumsupport
kuelekea kituo cha polisi.
Baada ya kumfikisha Lema Central police Arusha alisachiwa na kuingizwa ndani. Lema alikuwa ameambatana na magari ya wafuasi wa Chadema waliomsindikiza ili kushuhudia kinachojili hapo kituoni.
Baada ya kumtupa ndani,polisi waliwafukuza wafuasi hao wa Chadema hapo kituoni na kuwaambia hawatakiwi kuonekana hapo...
.......
MH. LEMA AMEKAMATWA KUFUATIA KILE KINACHOTAJWA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KUWA YEYE NDO CHANZO CHA VURUGA NA KUZOMEWA KWAE NA WANAFUNZI ALIPOFIKA CHUO CHA UHASIBU NJIRO BAADA YA TUKIO LA KINA MMOJA ALIYEUAWA KWA KUCHOMWA KISU.
MH. LEMA AMEKAMATWA KUFUATIA KILE KINACHOTAJWA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KUWA YEYE NDO CHANZO CHA VURUGA NA KUZOMEWA KWAE NA WANAFUNZI ALIPOFIKA CHUO CHA UHASIBU NJIRO BAADA YA TUKIO LA KINA MMOJA ALIYEUAWA KWA KUCHOMWA KISU.
KUFUATIA HILI KUNA SINTOFAHAMU NYINGI KWANI ZIMEZAGAA VIDEO CLIPS ZINAZOONYESHA STEPS ZOTE TANGU LEMA AENDE KUTULIZA FUJO CHUONI HAPO HADI MKUU WA MKOA ALIPOFIKA KITU AMBACHO KUTOKANA NA VIDEO HIZI HAPA CHINI WEWE KAMA MFUATILIAJI UNABAKI NA JIBU LAKO.
TAZAMA VIDEO HIZI MBILI KISHA UTAJUA LEMA KACHOCHEA MKUU WA MKOA KUZOMEWA AU KAONEWA........
SISI HATUNA JIBU VIDEO YA KWANZA INAMUONYESHA LEMA AKITULIZA VURUGU ZA WANAFUNZI KABLA MKUU WA MKOA HAJAFIKA
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI