Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema.
Mbunge
wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, leo ameachiwa kwa dhamana ya
shilingi milioni moja katika mahakama kuu kanda ya Arusha. Kwa sasa
mamia ya wafuasi wa Chadema wanaandamana na mbunge huyo kuelekea makao
makuu ya chama hicho.
kijiweni bongo by paul koka
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI