Tuesday, February 19, 2013

"PENNY NDO KILA KITU.....YEYE NDO WARIDI LA MOYO WANGU".....DIAMOND AFUNGUKA

Home » , » "PENNY NDO KILA KITU.....YEYE NDO WARIDI LA MOYO WANGU".....DIAMOND AFUNGUKA

"PENNY NDO KILA KITU.....YEYE NDO WARIDI LA MOYO WANGU".....DIAMOND AFUNGUKA



Siku za hivi karibuni kumekuwepo na ‘speculation’ kuhusu kama Diamond Platnumz na mtangazaji wa DTV VJ Penny ni wapenzi baada ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii inayowaonesha wakiwa pamoja kitandani.

Juzi Diamond alithibitisha rasmi kuwa kwa sasa anadate na mrembo huyo kwa kupost picha ya Penny (hiyo chini) kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: #MaBabyMama #De’MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YoungPrezident…..
Penny
Katika kile kinachoonekana kuwa Penny na mama yake Diamond zinaiva, hivi karibuni walipiga picha ya pamoja walipomsindikiza Diamond kwenye show ya Kigamboni.
Mama yake Diamond (katikati), Penny kulia na rafiki wa DiamondMama yake Diamond (katikati), Penny kulia na rafiki wa Diamond
Diamond (katikati) akiwa na Penny (wa tatu kutoka kushoto) na washkajiDiamond (katikati) akiwa na Penny (wa tatu kutoka kushoto) na washkakijiweni bongo by paul koka

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI