Home »
diamond
,
habari za kitaifa
,
PICHA ZA UCHI
» DIAMOND ALINASA PENZI LA PENNY WA DTV....NI BAADA YA WEMA, JOKATE,AVRIL NA WENGINE KIBAO
DIAMOND ALINASA PENZI LA PENNY WA DTV....NI BAADA YA WEMA, JOKATE,AVRIL NA WENGINE KIBAO
tagazo
Diamond Platnumz ataendelea kuwa newsmaker kuliko msanii yeyote Tanzania.
Hauwezi kupita mwezi bila kuibuka kitu kitakachomfanya aandikwe tena na tena.
Katika picha iliyowekwa kwenye ukurasa wa Facebook wa msichana aitwaye Skyner Ally kuna picha inayomuonesha Diamond akiwa amelala usingizi wa pono na msichana anayedaiwa kuwa ni mtangazaji wa DTV, Penny Mungilwa aka Vj Penny.
Picha hii inajieleza yenyewe kwa pozi walilolaa kuwa ni wapenzi ama ni one night stand?
Hata hivyo tulipowasiliana na Penny alisema hiyo ni picha iliyopigwa walipokuwa kwenye scene ya movie wanayoigiza pamoja ambayo amesema hana uhakika lini itatoka!
Penny na Diamond ndani ya movie?????...!!? Ngoja tuisubiri hiyo movie
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI