WOLPER ATOKEA KUKUBALI STYLE YA NYWELE YA SOLANGE KNOWLES
Muingizaji wa Filamu za bongo hapa nchini maarufu kama Wolper leo
asubuhi kupitia katika mtandano aliweza kufunguka na kusema ametokea
mara kwa mara kukubali sana style ya nywele ya mwanadada Solange Knowles.
na unakuta kuna wakati anatumia muda mwingi kuweka nywele zake sawa ili
ziwe na muonekano mzuri pale anapotoka out labda anapofanya shughuli
zake za sanaa.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI