Tuesday, December 11, 2012

UGANAD KUFUNGIWA HUDUMA YA FACEBOOK.... SOMA KILICHO WAPONZA

Kwa mujibu wa chanzo cha habari hizi inasemekana makao makuu ya mtandao wa Kijamii Facebook kutoka Marekani unaweza kutoa uamuzi mgumu wa kuifungia Uganda kutokutumia Facebook.

Inasemekana ni kwa sababu nchi hiyo inapinga mapenzi ya Jinsia Moja. Hivi karibuni Uganda imekuwa ikipinga vikali sana mahusiano ya jinsia moja. Inasemekana tayari kuna muswada utakaojadiliwa bungeni kuhusu sheria flani kupitishwa itakayotoa adhabu kwa mtu yoyote atakayejihusisha na matendo hayo.
  
Inasemekana wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wamemuomba Mark Zuckerberg kuangalia jambo hili kwa umakini zaidi na Zuckerberg amesema kuwa tamko la mwisho kutoka Facebook kuhusu Uganda linakuja siku za karibuni.  

Facebook imeshaonyesha mbinu zitakazotumiwa kuzuia nchi hio kutumia facebook ni pamoja na kufuta account zote zilizo fungulia kwenye eneo la Uganda na kuzuia Computer zote za Mac kupata Facebook Uganda.

Unaonaje hii ikitokea hapa Bongo??? Tiririkaaaa...

Source: Blogs Mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI