Tuesday, December 11, 2012

Mh. Rais 'Jakaya Kikwete' Apongezwa kwa Mchango wake Kwenye Matibabu ya 'Ray C' mpaka Amepona...


Mh. Rais Jakaya Kikwete ameshukuriwa na kupongezwa na watanzania wengi kwa kumsaidia Mwanamuziki Rehema Chalamila maarufu kama Ray C kwenye matibabu ya ugonjwa unaomsumbua.

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI