HAPA WE DON'T DO THAT, KWA SABABU TUNAWAHESHIMU WANANCHI WANAOPITIA HAPA THE SUPER BLOG, WANANCHI WANAOWEKWA PICHA ZAO HAPA, NA PIA WENYE MATANGAZO YAO YA BIASHARA KATIKA THIS SUPER BLOG, MATUSI YAKO PELEKA HUKOO KWENYE WENZAKO KAMA WEWE AMBAO MNAISHI KWA KUTUKANA WENGINE NA HUKU WENYEWE MNAHITAJI KUJITUKANA KWANZA KABLA HAMJAANZA KUTUKANA WENGINE! HA! HA! HA! HA! NAONA KUNA MNAOJARIBU SANA KUTUMA MATUSI HAPA SORRY WE DO NOT DO THAT!! HAPA NI USTAAARABU TU!! SO KUTUMA TUMA MATUSI NI WASTE OF YOUR TIME NA ENERGY PAMOJA NA KUPOTEZA BUNDLE ZAKO ZA SIM BURE CAUSE HATU-POST MATUSI HAPA, NENDENI HUKO KWENYE BLOGS MLIZOZOEA ZA MATUSI MATUSI SIO HAPA!!
RESPECT MUCH!!
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI