Monday, October 22, 2012
TANZANIA YAPANDA KWA NAFASI 12 KATIKA RANKINGS ZA FIFA
Tz up on FIFA rankings Zile rankings za FIFA za kila mwezi zimetoka na katika ranking ya timu ya wanaume, Tanzania imepanda kwa nafasi 12 na sasa ni ya 127 duniani. Immediately juu yetu ni Rwanda na Kenya ambazo zimefungana katika nafasi ya 125 na immediately below us ni Gambia ktk nafasi ya 128. Katika zone ya Afrika (CAF), Tanzania imekuwa ranked katika nafasi ya 39 kati ya nchi 53 zilizokuwa ranked kwa ubora Africa. Kwa upande wa wanawake Twiga stars imepanda kwa nafasi tano (5) Hadi kufikia nafasi ya 120 kwa ubora duniani. Katika zone ya Africa (CAF) Twiga stars wapo nafasi ya 19 kati ya nchi 36
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI