Picha Za Uchaguzi Wa UVCCM Arusha
Baadhi
ya wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Uvccm mkoani Arusha kutoka
wilayani Monduli wakiingia kwa mara ya pili kupiga kura za kumchagua
mwenyekiti wa umoja huo baada ya zoezi la awali kuvurugika jana katika
ukumbi wa CCM mkoa
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI