GARI LA MWANANCHI COMMUNICATION LAPATA AJALI
Breaking Newss: Gari la Mwananchi Communication wachapishaji na wauzaji wa magazeti ya Mwananchi na the Citizen linalosambaza magazeti katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha limapata ajali asubuhi hii na watu watatu kupoteza maisha papo hapo na kujeruhi wengine watano, habari zaidi zinakujia kupitia
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI