AUNTY EZEKIEL AITWA RAHMA,NDOA THEN SEND -OFF
Kutokana na habari za msanii maarufu wa Bongo Movie kuenea kuwa ameolewa na picha zake kuenezwa katika blogs na website mbalimbali,inasemekana tayari ameshaolewa katika ndoa ya kiislamu ambapo imebidi abadili jina na kuitwa Rahma.Japo bado maswali yapo vichani mwa watu kuwa labda ni maigizo tu
Pamoja na kutangulia kufunga ndoa suala la kitchen party na send-off badi lipo palepale na amesema itakuwa ya kitofauti sana.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI