Katika sakata la wazanzibal kukataa muungano mwananchi kijiweni nimefanikiwa kupata sabababu ambayo inappelekea muungano kutaka kuvunjika.sababu kubwa ni UDINI waislamu wenye msimamo mkali wamepania kuwaondoa wahumini wa dini ya kiiklisto.chanzo changu cha habali kinasema.Chama cha demoklasia na maendeleo CHADEMA NA ASKOFUU WA RC walipanga kufanya maandaamano Nchi nzima ili kumshinikiza Raisi JK kutoka madarakani .WAISLAMU baada ya kusikia kitu hicho nawao walijiiandaaa kupambana na chana cha CHADEMA pamoja na ASKOFUU WA RC .Chama cha chadema baada ya kugundua hilo walisitisha mgomo wao mara moja .BAKWATA yailalamikia seriklai kwa kuipendelea dini ya kikristo kwani katika bajeti na maamuzi mbalimbali pia katika matukio mbali mbali yanayotokea mfano Vurugu zilizo tokea MWEMBE CHAI miaka michache iliyopita hakukuundwa kamati yoyote .Lakini katika matukio yanayo husu dini ya kiikristo serikali inakuwa kipaumbele katika kutatua tatizo hilo.Hii itasababisha inchi kuingia katika matatizo makubwa MWANANCHI KIJIWENI niliendelea na uchunguzi wangu kutoka kwa wazee katika kijiwe fulani kinacho penda ongelea mambo yanayo husu nchi yetu ya Tanzania .NIlicho gngua wanao kataa muungano sio wananchi wa nzanzibari ilia dini ya kiislamu kupitia BAKWATA .Kama hali itaenda hivi nchi ya Tanzania itaingia katika tatizo kubwa sana kwani kutaweza kutokea vita baina ya dini hizi mbili.ROMANI CATHOLIC yahusisha na kuisapoti chama cha demoklasia na maendeleo CHADEMA .MAONI YANGU hali si nzuli sana hasa katika hii mitaa yetu ya uswahilni ambako kuna huo mchanganyiko wa hizo dini mbili MWISHO WA KUNUKUHU MANENO KUTOKA KIJIWENI
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI