KIJIWENIBONGO@
Kama
ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa
show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni
kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza,
alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye
anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen
beautiful women here with butts that make kimkardashian‘s look like Miley Cyrus.(“nimekuja
hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian
aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV
MAMA.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI