KIJIWENIBONGO@
Ni kijana
anayekuja kwa kasi sana katika tasnia hii ya bongo fleva anajulikana kwa
jina la Mirror msanii ambaye anatokea kwenye ile kampuni ya Wema Sepetu
inayoitwa ENDLESS FAME FILMS. Huu ni ujio wake mpya video inaitwa BABY
na imesimamiwa na Dir Nisher hadi Dress Codes alivotupia mtoto huyu
amesimamia Nisher, kwenye upande wa Wardrobe naambiwa kasimamia Martin
Kadinda na kuhusu makeups amesimamia Wema Sepetu.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI