Friday, August 30, 2013

SIO VIBAYA KUSEMA MMI NI SHOGA(REY kigosi) newss before it happens



KIJIWENIBONGO @ Imekuwa jambo la kawaida watu kujitangaza lakini kwa jambo hili  kidogo linaleta utata msaniii wa bongo muvie maarufu kma REY amefunguka na kusema alisha wahi kujihusisha na ushoga  .Kauli hiyo ya REY inakuja baada ya msaniii REY kushindwa mambo fulani  ya kitandani akiwa na mpenzi wake .Hali hiyo ilisababisha  mpenzi wake (JINA TUNALO) kumbana na ndipo REY kufunguka na kusema ukweli  kwamba eti yeye ni SHOGA

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI