Monday, June 10, 2013

DAKTARI ASAHAU PAMBA TUMBONI MWA MAMA ALIYEJIFUNGUA KWA UPASUAJI

KIJIWENIBONGO@


Msichana mmoja kutoka kaunti ya bungoma sasa anataka hatua zichukuliwe dhidi ya daktari mmoja kwa kuhatarisha maisha yake.
Maureen Khaemba alifika hospitali kuu ya bungoma kujifungua, lakini baada ya upasuaji, daktari alisahau pamba tumboni mwake hali ambayo imemsababishia maumivu chungu mzima. 
Beatrice Maganga na taarifa hiyo.

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI