Wakati issue ya Irene Uwoya
haijaisha, leo limeibuka jingine. Ni baada ya Wema Sepetu jana usiku
kumpigia simu Diamond ambaye wakati huo alikuwa amepumzika na mwandani
wake wa sasa, Penniel Mungilwa na wapenzi hao kumrekodi. Maongezi hayo
yamerushwa kwenye You Heard ya Clouds FM.
Insider mmoja amedai kuwa Wema alimpigia simu Diamond akimwambia kuwa anataka usiku huo aende kwake lakini Diamond akamwambia hayupo kwake na yupo nyumbani kwa Penny. Insider huyo amesema Wema alimwambia Diamond kama vipi yeye (Diamond) ndio aende nyumbani kwa Wema usiku huo. Hata Diamond alikataa kwa kusisitiza kuwa anampenda Penny na hawezi kuwa tena na Wema.
Hivi ndivyo maongezi hayo yaliyoifikia You Heard, yalivyokuwa:
Diamond; Mimi sikufanyii drama yoyote, I’m in love with Penny na wewe unaijua hivyo

Wema: Yeah you are in love with Penny and I…
Diamond: Sipendizewi kwasababu mwishi wa siku itakuja kuleta matatizo, drama, SITAKI
Penny anaichukua simu: anasema Hallo, we want to sleep now mammy, wacha si tulale
Wema: Uko poa?
Penny: Niko poa mammy, can u let us sleep now? Si hatutaki matatizo, na wewe usitake matatizo na sisi let’s just live one happy life.
Wema: You know me I don’t want trouble.
Penny: Yeah but you always wanna cause trouble Wema, you always , when did you ever want something peaceful? When? I mean when he (Diamond) says he is in love with me I don’t know, for some reasons I expect you to respect that because all you have done is bringing us trouble, seriously and all these things you do they tell us kwamba wewe ndio unafanya.
Maongezi ya mwisho hayasikiki vizuri sana lakini inaonesha Wema alikata simu.
Mwandaaji wa You Heard, Soudy Brown alimpigia simu kumwambia kuhusu kipande hicho cha maongezi kilichorekodiwa na hivi ndivyo alivyosema:
Wema: Nimeambiwa lakini sikujua itakuwa this big, kama wananichokoa hapa apate kick wanaona kwamba hawana kick then that’s something else unajua eeh,.kick wazitafute sehemu nyingine sio kwa Wema Sepetu.
Sawa mimi
najijua, me I am a star, I am star like all over Tanzania hakuna star
kama mimi kwahiyo kama wanaona wanaweza kupata kick kutokana na mimi
star because they are looking for name they are fucked up.
Soudy: Bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda wewe!
Soudy: Kumtamani?
Wema: Siwezi
Soudy: Kwanini?
Wema: Sasa wa kazi gani kwasababu mimi nimeshakuwa na Diamond it’s done, haikuwa riziki kila mtu ameenda na mambo yake, kaendelea na maisha yangu na mimi nimeendelea na maisha yangu, I am very very happy where I amkijiweni bongo by paul koka
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI