Inaonekana baadhi ya vituo vya runinga nchini Afrika Kusini, zikiwemo Channel O na Soundcity zimetaka video mpya ya Prezzo, Liqher ifanyiwe marekebisho kadhaa ili vianze kuicheza.
Hiyo ni kwa mujibu wa mawasiliano kwenye
mtandao wa Twitter kati ya msichana aitwaye Tricia Stever anayetumia
jina GOLDIE 4EVER GOLDEN aliyetaka kufahamu kwanini video hiyo haioni
ikichezwa kwenye vituo hivyo.
“Pls y is d video for #liqher not being
shown on soundcity, channel o n other music channels @amb_prezzo
#justcurious,” aliuliza msichana huyo jana.
Prezzo akiwa kwenye jacuzzi
Wanawake wakionesha vitendo vya usagaji
Wanawake wakinyonyana ndimi kwenye video hiyo
Prezzo alijibu, “Working on it, had 2 make sme changes……if u know wht I mean.”
“Yeah i understand but pls try n hasten it up, cos dat video is dope n d whole of africa need to watch it,” alitweet Tricia.
Video ya Liqher inamuonesha Prezzo
katika baadhi ya scenes akiwa kwenye Jacuzzi na wasichana walio nusu
utupu na wengine wakinyonyana ndimi.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI