Aunty Ezekiel ambaye ni MKE WA MTU and former Miss Tanzania (Mshiriki) ,hivi karibuni alifunguka kwamba amepata deal la kwenda kupiga some scenes kwenye tamthilia ya “Isidingo the Need”. huko Afrika ya Kusini
Mwaka mzima umekatika na hatujaona sura yake kwenye tamthilia ambayo inakuwa hewani kupitia ITV. Katika mazungumzo ya nyuma na mpekuzi wetu, Aunty alifunguka na kusema
“Nashindwa cha kusema chochote lakini nafurahi kuwa wameangalia kazi zangu na kuzikubali na kunipa hii nafasi. Nategemea kumalizia mazungumzo na mambo kukamilika hivi karibuni. Watanzania wenzangu , support inahitajika kwa mtanzania yoyote anayefanya kitu kizuri kwa ajili ya nchi, so am sure nitaiwakilisha vizuri sanaa ya Tanzania na Nchi kwa ujumla”
Mpekuzi wetu alipojaribu kumtafuta Aunty Ezekiel kwa majibu kuhusu hii issue, mke wa mtu alionekana kuwa busy sana. May be alikuwa kwenye harakati zake na mambo ya kuanza pharse two maisha ya ndoa after kunjika ya kwanza na Jack Pemba.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI