kijiweni bongo by paul koka
Hatimaye staa wa fi lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa ‘laivu’ akiwa amepiga picha chafu inayoonesha sehemu kubwa ya nyeti zake.
Wolper alinaswa na mwandishi wetu katika sherehe ya ‘bethidei’ ya msanii mwenzake iliyofanyika hivi karibuni Ubungo jijini Dar.
Siku za nyuma, staa huyo aliwahi kukataa kupiga picha kama hiyo alipotakiwa kufanya hivyo na mwandishi wetu katika ufukwe mmoja jijini Dar.
Wolper aliapa kamwe hataweza kupiga picha ya namna hiyo katika maisha yake yote
Hatimaye staa wa fi lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa ‘laivu’ akiwa amepiga picha chafu inayoonesha sehemu kubwa ya nyeti zake.
Kunaswa kwa picha hiyo, kumevunja heshima ya staa huyo aliyekuwa
pekee hajapiga picha ya namna hiyo kati ya mastaa wa kike wanaotamba
katika tasnia ya fi lamu hapa Bongo.
Siku za nyuma, staa huyo aliwahi kukataa kupiga picha kama hiyo alipotakiwa kufanya hivyo na mwandishi wetu katika ufukwe mmoja jijini Dar.
Wolper aliapa kamwe hataweza kupiga picha ya namna hiyo katika maisha yake yote
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI