Tuesday, February 26, 2013

Picha 5 ya shule iliyofungiwa huko Mwanza

Home » » Picha 5 ya shule iliyofungiwa huko Mwanza


Wanafunzi wakiwa Darasani
Shule ya Sekondari ya Mount Zion ina jumla ya vyumba 7 vya madarasa ambavyo ilisajiliwa navyo kuhudumia wanafunzi 160 lakini sasa hivi wanafunzi wameongezeka na kufikia 515 ambapo madarasa mengine yana wanafunzi mpaka 119 na wengine wanakalia ndoo badala ya viti.
Bwenini
Ni ndani ya moja ya vyumba vya wasichana ambacho ndani yake kuna matandiko haya na masanduku 13 ikimaanisha ndiyo idadi ya wasichana wanaolala hapa.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela akizungumza huku machozi yakimlenga kutokana na alichokiona shuleni hapo,  aliagiza hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya Mkurugenzi wa shule hiyo ya Mount Zion Ilemela.kijiweni bongo by paul koka

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI