Home »
habari za kitaifa
» MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVA AL MAARUFU KWA JINA LA ''TIMBULO''''' AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO BURUNDI.
Msanii wakizazi kipya, anae ondoka na mitindo ya bongo flava Ally TIMBULO kuna tetesi zinasema kuwa amekamatwa na dawa zakulevya Mjini Bujumbura .......
Habari zinadai kwamba Msanii huyo alikuwa na mpango waku endesha tamasha Mjini Bujumbura mwezi wa 4 baada ya maombi lukuki ya washabiki wake Mjini Bujumbura/nchini Burundi . ......
Mtandao huu unaendelea kufuatilia undani wa tukio hili
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI