Tuesday, February 19, 2013

Home » habari za kitaifa » HUU NDO WARAKA WA UAMSHO UNAOCHOCHEA MACHAFUKO NA MAUAJI YA WAKRISTU HUKO ZANZIBAR

HUU NDO WARAKA WA UAMSHO UNAOCHOCHEA MACHAFUKO NA MAUAJI YA WAKRISTU HUKO ZANZIBAR


Huu   ndo waraka uliosambazwa Zanzibar ukichochea  mauaji  ya  wakristu  ambao  wao  wanawaita  "MAKAFIRI"....

Swali  la  kujiuliza  ni JE, SERIKALI  ILILITAMBUA  HILI?..Maana  hizi  ni  dalili  za wazi kwamba  mauaji haya  YALIPANGWA.

NB: Hatutegemei lawama  toka  upande  wowote.Palipo  na  lolote sisi  hufichua  kwa uwazi  ili  kuifahamisha  jamii...

Kuna  haja  gani  ya  kuuficha  ukweli?...Ni bora kuuanika  ili watanzania  wenzetu walioko  zanzibar wachukue  tahadhari  wakisubiri   msimamo  wa serikali.

Chanzo  cha  waraka  huu ni blog ya zanzibar.

Mtandao  huu umeupata waraka huu  kupitia JAMII FORUM.<<< BOFYA  HAPA>>>    kijiweni bongo by paul koka

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI