Wednesday, December 12, 2012

Pasaka Ya Kala Jeremaya Kutoka Siku Ya tarehe 20/12/20


Rapper Kala Jeremaya ambae alikuwa ni mshiriki wa Bongo Star Search sasa yuko mbioni kuachia album yake iitwayo ''PASAKA'' ambapo ndo itakuwa ni album yake ya kwanza kuiachia tangu aanze kuimba. Kala amesema hayo kupitia…
Continue

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI