Balozi Wa Kanada Azungumza Na Waziri Wa Madini
Balozi wa Canada nchini, Mheshimiwa Alexandre Leveque akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo alipomtembelea wizarani leo. Serikali ya Canada imeonyesha nia ya kuwekeza katika sekta ya umeme.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI