WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAWAOMBA RADHI WATANZANIA KWA KUPIGWA PICHA ZA UCHI WAKATI WA TAMASHA LA FIESTA DODOMA.
Msaanii
maafuru wa filamu nchini Tanzania asiyeishiwa na vibweka Wema Sepetu
(katikati) akizungumza na wanahabari katika ukimbi wa habari maelezo
jijini Dar kwa nia ya kuomba radhi kwa watanzania kwa niaba yake na
msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao kupigwa picha
zilizowaonyesha ‘ndivyo sivyo’ nusu uchi wakati wakijiachia katika
Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Msanii
wa Bongo Movie Ant Ezekiel na kushoto Katibu Mkuu wa TAFF Wilson
Makubi.
Msanii
Maarufu wa filamu za Bongo Ant Ezekiel akisisitiza kuwa wao wameoumia
sana kwa kuonekana kwa picha zile kwa sababu wao kama wanawake katika
jamii, wana wazazi. Ndugu, jamaa, marafiki pamoja na mashabiki
mbalimbali wa kazi zao ambao wanawaheshimu kuliko baadhi ya watu
wanavyofikiria.
Wema
Sepetu Mbele ya kamera ya MO Blog akiomba radhi na kusema watanzania “
Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana” na tunatumia fursa hii kuomba
Msamaha.
Moja
ya picha ya Msanii Aunty Ezekiel iliyosamba kwenye mitandao ya Kijamii
hivi karibuni wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI