Mkuu
wa Brigedi ya kusini Songea Kanali John Chacha akisamiliana na Waziri
wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernad Membe mjini
Songea
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernad Membe akisalimiana na mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Ruvuma Daud Masiko .
Mzee
aliyefahamika kwa jina moja la Ngatunga akizungumza jana wakati wa
ujumbe wa wataalamu kutoka Serikalini ulipotembelea ziwa nyasa wilayani
nyasa Ruvuma ili kupata ushahidi wa mmiliki halali wa ziwa nyasa ambalo
limeziingiza katika mgogoro Malawi na Tanzania.
Mzee
Gidion Ndembeka kulia akimuonesha Waziri wa mambo ya nchi za nje
Bernad Membe kitabu chenye mipaka halali kati ya Malawi na Tanzania
iliyopo ndani ya Ziwa Nyasa. Picha na Muhidin Amri
No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI