Tuesday, June 10, 2014

KHAAAH KUMBE WEMA SEPETU ALI MAKE HAADLINE KWENYE TUZO ZA MTV ..ONA ALICHOSEMA MC HUYU

KIJIWENIBONGO@

Kama ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen beautiful women here with butts that make ‘s look like(“nimekuja hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV MAMA.

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI