Home »
diamond
,
habari za kitaifa
» "PENNY NDO KILA KITU.....YEYE NDO WARIDI LA MOYO WANGU".....DIAMOND AFUNGUKA
"PENNY NDO KILA KITU.....YEYE NDO WARIDI LA MOYO WANGU".....DIAMOND AFUNGUKA
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na ‘speculation’ kuhusu kama Diamond Platnumz na mtangazaji wa DTV VJ Penny ni wapenzi baada ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii inayowaonesha wakiwa pamoja kitandani.
Juzi Diamond alithibitisha rasmi kuwa kwa sasa anadate na mrembo huyo kwa kupost picha ya Penny (hiyo chini) kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: #MaBabyMama #De’MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YoungPrezident…..

Katika kile kinachoonekana kuwa Penny na mama yake Diamond zinaiva, hivi karibuni walipiga picha ya pamoja walipomsindikiza Diamond kwenye show ya Kigamboni.


No comments:
Post a Comment
KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI