Thursday, October 25, 2012

Madiwani wa Chadema watwangana Moshi

Madiwani wawili wa Chadema katika Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro juzi walizichapa laivu huku kiini cha ugomvi huo kimetajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya.
Advertisement
bendera chadema Madiwani wa Chadema wapeana kipigo kikaoni Moshi
Tukio hilo linasemekana kutokea katika moja ya kumbi za mikutano za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, wakati madiwani hao walipokua katika kikao cha maandalizi ya mkutano wa baraza la madiwani. Gonga link ifuatayo kwa habari kamili: 

No comments:

Post a Comment

KIJIWENI BONGO HAITAUSIKA NA MAONI YANAYOWEKWA NA WASOMAJI